search
Subtotal COP $ 0
Total COP $ 0
  • Ebook
Ndoto yangu nzuri sana...

Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote – My Most Beautiful Dream (Kiswahili – Kiingereza)

  • Año de edición 2022
COP $ 22.900

Kitabu cha watoto cha lugha mbili, kwa miaka 2-3 na zaidi (Kiswahili – Kiingereza) Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa – papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake … Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako? Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake – na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote. ► Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's picture book (Swahili – English) Lulu can't fall asleep. All her cuddly toys are dreaming already – the shark, the elephant, the little mouse, the dragon, the kangaroo, and the lion cub. Even the bear has trouble keeping his eyes open ... Hey bear, will you take me along into your dream? Thus begins a journey for Lulu that leads her through the dreams of her cuddly toys – and finally to her own most beautiful dream. ► With printable coloring pages! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.

  • Formato
    Ebook
  • Estado
    Nuevo
  • Isbn
    9783739962337
  • Peso
    45.4 MB
  • Número de páginas
    28
  • Año de edición
    2022
  • Idioma
    Inglés
  • Formato
    EPUB
  • Protección
    DRM
  • Referencia
    BKW29509

Ulrich Renz

Autor

Ulrich Renz was born in Stuttgart, Germany, in 1960. After studying French literature in Paris he graduated from medical school in Lübeck and worked as head of a scientific publishing company. He is now a writer of non-fiction books as well as children's fiction books. Barbara Brinkmann was born in Munich, Germany, in 1969. She grew up in the foothills of the Alps and studied architecture and medicine for a while in Munich. She now works as a freelance graphic artist, illustrator and writer.